Thursday, May 17, 2012

Waziri wa Uvuvi Davidi Mathayo Ateketeza Nyavu haramu Bukoba

 Waziri wa uvuvi na maendeleo ya mifugo Davidi Mathayo akijiandaa kuteketeza nyavu haramu ambazo zilikamatwa na kikosi cha doria cha kuzuia uvuvi haramu ndani ya ziwa Victoria.
 Akisaidiwa na maofisa wa kikosi cha kuzuia uvuvu haramu mkoani Kagera
 Moto tayari umewashwa na anaye choma mwingine ni mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabiani Massawe
 Zoezi linaendelea kati ya waziri Mathayo na Mkuu wa mkoa Kagera kanali Massawe
Nyavu zikiwa zinateketea kwa moto katika eneo la Kyairabwa kata Nyanga Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera

No comments:

Post a Comment