Monday, January 20, 2014

Maishaaaa


Magazeti

DSC 0014 2a44b
DSC 0015 e26b5
DSC 0016 efbd8
DSC 0017 293a5
DSC 0018 15111
DSC 0019 7103d
Hudugu
DSC 0020 330c7
DSC 0021 7439c
DSC 0022 3b0e7
DSC 0023 d94a9
DSC 0024 42a54
DSC 0025 a8eda
DSC 0026 df291

Tuma Maoni

Kiapo

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam

 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwange, kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam

 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jenista  Mhagama, kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam

  Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Pindi Chana, kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu. Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwigulu Nchemba, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Juma Nkamia, kuwa Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam

Wageni wa heshima.

Picha ya pamoja.

WAZIRI MKUU AKIKAGUA MAREKEBISHO YA UKUMBI WA BUNGE

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua marekebisho yanayofanyika katika ukumbi wa Bunge  mjini Dodoma Januari 18, 2013 ikiwa ni maandalizi ya  Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akikagua kazi ya uwekaji viti vipya  katika ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Januari 18,2014 ikiwa ni maandalizi ya  Bunge la Katiba linalotarajiwa kuanza mwezi ujao. (Picha na Ofisi yaWaziri Mkuu)

WAZIRI MKUU AKAGUA ATHARI ZA MAFURIKO DODOMA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua athari za mafuriko  yaliyokikumba kijiji cha  Chipogoro wilayani Mpwapwa Januari 17, 2014.  Kulia kwake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara na Mbunge wa Mpwapwa, Gregory Tewu na kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dr. Rehema Nchimbi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua athari za mafuriko katika kijiji cha Fufu wilayani Chamwino, Dodoma, Januari 17, 2014.Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rehema nchimbi na kulia kwake ni Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua  daraja ambalo lilizibwa na  maporomoko ya maji yaliyoambatana na magogo , mawe na udongo na  kusababisha  mafuriko katika  kijiji cha Chipogoro wilayani Mpwapwa januari 17,20134. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

Maisha Yanaendelea

Magazeti

DSC 0172 068af
DSC 0173 75a63
DSC 0174 0ca7e
DSC 0175 a91b3
DSC 0176 09221
DSC 0177 76cb0
hudugu
DSC 0178 b6502
DSC 0179 8f858
DSC 0180 8062d
DSC 0181 0f52e
DSC 0182 45152


Thursday, January 16, 2014

NYUMBA INAPANGISHWA NA NI NYUMBA YA KISASA IPO MAENEO YA IHUNGO KARIBU NA KOLPING MIDIUM PRIMARY SCHOOLKATIKA KATA YA BUHEMBE

 Sehemu ya mbele ya nyumba Inayopangishwa Katika muonekana
 Kwa Muonekano Zaidi

 Ndani ya nyumba hiyo Kwa muonekano wa sebuleni
 Kwa Muonekano Mzurii
 Sehemu ya Chakula Dinningg
 Sehemu ya Nyuma ya nyumba hiyo inaayopangishwa
Nyumba hii ina Vyumba vinne vya kulala Sebule nzuri sehemu ya chakula,Stoo Choo na bafu ya ndani na chumba maalu au Master Bed Room ambayo inajitegemea kwa choo na bafu unaweza kuwasiliana nasi kwa simu namba 0764493111 au 0782813387 bei ni maelewano na mazingira ya kuridhisha.