Wednesday, May 9, 2012

Manispaa Ya Bukoba Wathamini Walipa Kodi wenu



Barabra hii iko mtaa wa Kashenye kata ya Kashai Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera imekatika na hivyo kusababisha usumbufu kwa watumiaji barabara hiyo, mtaa wa Kashenye ni moja ya mitaa iliyoko katika manispaa ya Bukoba ambayo imesahaulika mtaa huu ni moja ya mitaa yenye miundo mbinu hatarishi. 


No comments:

Post a Comment