Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane Ouattara (kushoto) akibadilishana mawazo na Rais wa wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dr.Donald Kaberuka(kulia) wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) jana mjini Arusha .
Rais wa wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB)
Dr.Donald Kaberuka akihutubia wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo
ya Afrika (AfDB) jana mjini Arusha .
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete(kulia)
akibadilishana mawazo na Waziri wa Fedha Dr. William Mgimwa (kushoto)
wakati wa sherehe za ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya
Maendeleo ya Afrika (AfDB) jana mjini Arusha . Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.Jakaya Mrisho Kikwete (kushoto) akipongezwa na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) Dr. Donald Kaberuka (kulia) mara baada ya kumaliza kutoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa 47 wa mwaka wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) jana mjini Arusha . Katikati ni Rais wa Serikali ya Jamhuri ya Ivory Cost Dr. Alassane Ouattara.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO-Arusha
No comments:
Post a Comment