Thursday, May 17, 2012

Chadema Wahutubia Wakazi Wa Kashai mjini Bukoba


Mbunge wa viti maalumu wa CHADEMA Conchester Lwamlaza akiwahutubia wananchi wa manispaa ya Bukoba wakati wa mkutano ulioandaliwa na chama hicho na kufanyika kwenye viwanja vya soko la kata ya Kashai iliyoiko katika manispaa ya Bukoba.


Mwenyekiti Wa Chadema Wilfredi Lwakatare akihutubia maelfu ya wananchi wa manispaa ya Bukoba.

Sehemu ya umati wa wananchi wa mji wa Bukoba mkoa wa Kagera walioudhuria mkutano wa hadhara uliandaliwa na CHADEMA.

No comments:

Post a Comment