Wednesday, May 16, 2012

Jk Akimpa Nape Maelekezo

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimwagiza jambo, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye wakati wa semina ya kuwajengea uelewa wa Utawala bora, Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, iliyofanyika jana May 15, 2012, kwenye ukumbi wa Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma. Semina hiyo iliandaliwa na Mpango wa Hiari wa Nchi za Umoja wa Afrika kujipima kwa vigezo vya Utawala Bora-APRM. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama. (Picha na Bashir Nkoromo)



No comments:

Post a Comment