Saturday, March 3, 2012

WAKAZI BUKOBA TUFANYE USAFI MJI UPENDEZE

USAFI MUHIMU hawa ni wakazi wa eneo la Uswahilini Kata ya Bilele Bukoba Mjini wakifanya usafi eneo ambalo takataka zilikuwa zimetupwa ovyo ovyo bila ya kuwekwa sehemu maalum! huu ni mfano wa kuigwa katika suala la usafi.

No comments:

Post a Comment