Friday, March 2, 2012

HIZI NI BUNDUKI BANDIA NA NYINGINE ZA KIVITA

Katika hali isiyo ya kawaida jeshi la Polisi mkoani Kagera limekamata bunduki nne mbili SMG zikiwemo mbili bandia ambazo zimetengenezwa kwa migomba(zenye rangi Nyeusi) pamoja na risasi 87,kisu na kofia za kijeshi katika kata ya Bugabo wilayani Bukoba

No comments:

Post a Comment