Tuesday, March 6, 2012

RC KAGERA AKIWASIMAMIA WAKAZI WA BIHARAMULO KUFANYA USAFI KATIKA ENEO LA MSITU WA KASINDAGA

Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali mstaafu Fabiani Massawe(mwenye suti) akiwasimamia wakazi wa Kasindaga wilayani Biharamulo mara baada ya kuwakuta wapo katika eneo lilokuwa na takataka na kuwataka walifanyie usafi haraka.Eneo hili lilikutwa na taka taka nyingi na liko barabarani

No comments:

Post a Comment