Thursday, March 1, 2012

MANDHARI INAVUTIA SANA WILAYANI MULEBA KAGERA

 Hili ni Bwawa la kufugia samaki aina mbalimbali kama sangara na Kambale ambalo linapatikana katika wilaya ya Muleba Mkoani Kagera kata ya Muhutwe na linatoa mafunzo ya ufugaji.










UTALII NI MUHIMU KWA WANA HABARI NCHI TANZANIA

Meneja wa Kagera Museum Trust inayojishugulisha na makumbusho Bwana Williamu Rutha wa pili kushoto, (Wille Kiroyela) akitoa maelezo kwa baadthi ya waandishi wa habari mkoani Kagera waliotembelea eneo hilo la makumbusho kata ya miembeni Nyamkazi Manispaa ya Bukoba.

No comments:

Post a Comment