Thursday, March 22, 2012
Rais Kikwete azindua Mradi wa Maji Pawaga Iringa
Rais Jakaya Kikwete akifungua maji ya
bomba kuashiria uzinduzi rasmi wa mradi wa maji katika kijiji cha
Itunundu kata ya Pawaga Iringa uliogharimiwa na kanisa la Anglican
Dayosisi ya Luaha Mkoani Iringa kwa zaidi shilingi bilioni mbili, Huku
wakuu wa kanisal hilo wakishuhudia, kutoka kulia ni Askofu mstaafu wa
Dayosisi ya Luaha Dornald Mtetemela, Martha Mgomi Mratibu wa mradi huo
na Askofu Joseph Mgomi wa Daayosisi ya Luaha. FULLSHANGWE
ilikuwepo katika msafara huo na kukuletea taswira mbalimbali za
kuwasili kwa Mh. Rais Jakaya Kikwete pamoja na shughuli yake ya
kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Itunundu kata ya Pawaga mkoani
Iringa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment