Friday, March 2, 2012

HAWA JAMAA BADO WANAKOMAA KUCHAMBUA NYAVU TEEEENA!!!!!!

Nikiwa napitapita tena siku ya leo katika eneo la Mwalo wa Nyamkazi kata Miembeni mjini BUKOBA jamaa zangu hawa nikawakuta wanachambua nyavu kama jana nilipowauliza wao wakasema sio wavuvi bali ni wazee wa kuchambua nyavu za wenzao ambao kwa wakati huu wanapatikana ndani ya ziwa VICTORIA,Haya ndio mandhari ya Bukoba kandokando ya ziwa hilo siku ya leo akuna jua kuna ushwari tu!

No comments:

Post a Comment