Friday, March 2, 2012

RPC KAGERA AKIONYESHA BUNDUKI BANDIA ZILIZOKAMATWA

Kamanda wea Polisi mkoani Kagera Henry Salewi akionyesha bunduki bandia kwa waandishi wa habari hawapo pichani zilizotengenezwa kwa migomba,bunduki hizo zilikamatwa eneo la Bugabo nje ya Mjini wa Bukoba ambapo majambazi wawili walikamatwa wakiwa katika jaribio la kumteka mkazi mmoja wa Bugabo Bukoba Vijijini.

Pembeni kwake ni askari wa jeshi hilo mkoani Kagera ambao walifanikisha kukamatwa bunduki hizo jeshi la polisi mkoani Kagera limetoa wito kwa wananchi kutoa ushirikiano na kufichua vitendo vya uharifu.

No comments:

Post a Comment