Saturday, March 3, 2012

MANISPAA YA BUKOBA KILA SIKU TUNAFANAFANYA USAFI ASEMA MASAWE

Mji wa Bukoba ni mmoja wa miji ambayo suala la usafi ilikuwa si jambo la kawaida lakini hivi karibuni mkuu wa mkoa wa kagera Kanali mstaafu Fabiani Masawe aliweka utaratibu wa kila mkazi katika eneo analoishi kufanya usafi kwa sasa mji wa Bukoba ni safiii

Lakini eneo hili la dampo ya Uswahilini kata Bilele bado kuna tatizo la kutupa takataka kando ya dampo hilojambo ambalo uongozi wa Manspaa ya Bukoba inabidi kulifanyia kazi usafi ni Muhimu.

No comments:

Post a Comment