Saturday, April 21, 2012

Wanafunzi Wa Chuo Cha Udreva Cha Lake Zone

 Wanafunzi wa chuo Cha Lake Zone kilichopo Mjini Bukoba wakiwa wanapata maelezo juu ya usalama barabarani kutoka kwa mkuu wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Kagera
 Mkuu wa Kikosi Cha Usalama Barabara Mkoani Kagera Malisoni Mwakyoma akikagua wanafunzi wa Lake Zone Driving School  na nyuma yake ni mkurugenzi wa chuo hicho Winstoni Kabantega

Mwakyoma (RTO )akiwa na Mkurugenzi wa Lake Zone pamoja na askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoani Kagera wakiangalia  jinsi ya uendeshaji na ubebaji wa pikipiki za abilia

No comments:

Post a Comment