Saturday, April 7, 2012

Msanii Nyota Nchini Steven Kanumba Afariki Dunia


Imethibitishwa kuwa kifo chake kimetokea  usiku wa kuamkia leo. Bado kuna taarifa tata juu ya sababu ya kifo chake. Habari zaidi zitawajia kadri tutakavyozipokea.

No comments:

Post a Comment