Wednesday, April 18, 2012

WANA JANGWANI WENZANGUKwanza nawapa pole wana Yanga wenzangu kwa kushindwa kufanya vizuri katika mechi za misho wa ligi kuu Tanzania Bala lakini siku za hivi karibuni katika kanda ya ziwa mmepoteza michezo yote miwili mechi ya kwanza timu ya toto African ya Mwanza aliwachapa kwa magolo 3 kwa 2 na siku ya jana timu ya Kagera sugar ya mjini Bukoba iliwapiga goli Moja kwa bila pamoja na kuonyesha mpira mzuri lakini matokeo yakawa vile

Cha msingi ni kuweka jitihada zaidi na kujiandaa upya katika michuano ijayo imekuwa ni mara ya Kwanza kwa timu yetu hii nzuri kufanya vibaya katika kipindi cha mwisho wa ligi kuu ya Tanzania bala.

Msikate tamaa bado wapenzi wenu tuko pamoja haya ni matoeke katika michezo wala hakuna haja ya kuwa na hasira ya aina yoyote ile bado twawapenda wana jangwani

By Kalunde

No comments:

Post a Comment