Thursday, April 5, 2012

Breaking News Lema sio Mbunge Tena

Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema avuliwa ubunge na Mahakama kufuatia kilichoelezwa na Mahakama kwamba ni ukiukaji wa taratibu za uchaguzi, ikiwemo matumizi ya Lugha za matusi

No comments:

Post a Comment