Sunday, April 22, 2012

Mkaguzi wa magari mkoani Kagera akikagua katika chuo Cha Lake Zone Mkaguzi wa Magari kutoka kikosi cha usalama barabarani mkoani Kagera PC Samweli akikagua magari yanayotumika kufundishia madereva katika chuo cha Lake zone Driving School mjini Bukoba nyuma ni moja wa Mkufunzi wa chu hicho.
Baaddi ya walimu wa Chuo cha Lake Zone Driving School wakiwa katika picha ya pamoja na mkaguzi wa magari katikati yao PC Samweli

No comments:

Post a Comment