Thursday, April 12, 2012

LEO MAJIRA YA ASUBUHI NILIKUWA KATIKA WILAYA YA KARAGWE

 
 Hili ni pori linaloizunguka wilaya ya Karagwe mkoani Kagera lakini hairuhusiwi mwananchi wa aina yoyote kulima wala kufugia kwani ni eneo la Ranchi za taifa (NARCO)hii ni Kikulula Ranchi.

 


Nilikutana na daraja ambalo sijawahi kuliona katika pori la Ranchi hiyo na nilipoulixza nikaambiwa ni daraja ambalo lipo katika barabara ya Halmashauri ya wilaya Karagwe

]

Nilipofika katika Manspaa ya Bukoba Nimefurahi sana kukuta mto wa Kanoni ambao ulikuwa unaongoza kwa kuwa na majani pembeni jambo ambalo lilitaka kupelekea mto huo kukauka lakini kutokana na usafi uko poa((hapa ni eneo la daraja karibu na kituo cha mabasi ya Mohamed Trans kata ya Hamugembekama inavyoonekana)



No comments:

Post a Comment