Saturday, April 21, 2012

Mkuu Wa Trafiki Kagera Atembelea Chuo Cha Mafunzo Ya Udereva

 Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Malisoni Mwakyoma akiwasili katika chuo cha mafunzo ya udereva cha Lake Zone Driving School akipokelewa na Mkurugenzi wa Chuo hicho Winstoni Kabantega

Mkurugenzi wa chuo hicho Winsoni Kabantega akitoa maelezo kwa Mwakyoma juu ya ufundishaji  kwa mafundi wa magari akionyesha gari linalotumika kuwafundishia.

No comments:

Post a Comment