Wednesday, April 4, 2012

RC KAGERA AKIPOKEA CHETI

 Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabiabi Massawe akipokea cheti kutoka kwa mshiriki wa mashindano ya tuzo za uandishi wa habari ambazo zilitolewa hivi karibuni anayemkabidhi ni Angela Sebastiani mwandishi wa Gazeti la Uhuru  ambaye alikuwa mshiriki katika kategori ya afya.
 Mkuu wa mkoa wa Kagera kanali mstaafu Fabiani Massawe akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake wakati walipokwenda kukabidhi tuzo za mwandishi ambaye aliibuka mshindi katika tuzo za waandishi wa habari ambaye alishinda tuzo kutokana na taarifa yake ya Maralia Bw Audax Mutiganzi

No comments:

Post a Comment