Thursday, April 5, 2012

RC Kagera Atembelea Hospitari ya Mkoa Wa Kagera


 Wauguzi wa hosptali ya mkoa wa Kagera wakimsikiliza mkuu wa Mkoa wa Kagera

 
 Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabiani Massawe akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa Hospitali ya Mkoa wa Kagera Honoratha Mutembei wakati mkuu wa mkoa alipotembelea Hospitali hiyo

No comments:

Post a Comment