Wednesday, April 11, 2012

TUME YA KATIBA:MTIHANI WA PILI KWA JAJI WALIOBA YASEMA Raia Mwema


 Na Maggid Mjengwa,

JAJI Mstaafu, Joseph Sinde Warioba, kwa mara ya pili katika historia ya nchi hii, amepewa na Rais aliye madarakani, Jakaya Mrisho Kikwete,  heshima ya kutwishwa jukumu kubwa linaloweza, ama kubadili sura na mwelekeo wa taifa la Tanzania, au kuliacha taifa likiwa limenasa kwenye tope zito.
Ndio, Jaji Joseph Warioba amepewa jukumu zito la kuongoza Tume ya Kurekebisha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Itakumbukwa, baada ya nchi kuzama katika vitendo vya rushwa huku viongozi wakiongoza katika kutenda dhambi hiyo, …

Read the full story »


No comments:

Post a Comment