Friday, August 3, 2012

Wafanya Biashara Wa Soko Kuu Mjini Bukoba Wakutana Na Uongozi Wa Manispaa


Mmoja wa wafanyabiashara wa soko kuu la Bukoba akitoa maoni yake wakati wa kikao cha wafanyabiashara wa soko hilo na uongozi wa halmashauri ya manispaa ya BukobaMkurugenzi mtendaji wa manispaa ya Bukoba Khamis Kaputah, akiongea na wafanyabiashara wa soko kuu la Bukoba wataoondolewa ndani ya soko hilo kupisha ujenzi wa soko jipya la kisasa.
Kaputah (kushoto) akiwasikiliza wafanyabiashara wa soko kuu la Bukoba.
Baadhi ya wafanyabiashara walioko ndani ya soko kuu la Bukoba ambao manispaa inataka kuwaondoa kupisha ujenzi wa soko jipya.

No comments:

Post a Comment