Sunday, August 5, 2012

maisha Yanaendelea

Nyumba ya asili ya wahaya iliyokuwa inatengenezwa kwa nyasi maarufu kwa jina la Mshonge inapatikana maeneo ya Kamachumu, wilayani Muleba

No comments:

Post a Comment