Monday, August 6, 2012

Matukio Mbalimbali Katika picha
Wasichana Wakihamasishwa Kujiunga Na Mchezo wa Ngumi (Mama Mwenyewe ni Mwanamasumbwi)
Mama Kipingu Akiongea na Wanafunzi Shule ya Sekondari Rugambwa na Kuwahamasisha Kujiunga Mchezo wa Ngumi (Masumbwi)
Kikundi kinachoundwa na walemavu kinachojihusisha na kazi za mikono cha BUDAP ni miongoni mwa washiriki wa maonyesho ya nanenane yanayoendelea mkoani Kagera kwenye viwanja vya Kyakailabwa.
Baadhi ya viongozi mkoani Kagera wakiangalia bustani za magereza zilizoko kwenye uwanja wa maonyesho ya nanenane yanayoendelea mkoani Kagera.
Ndizi zinazozalishwa na magereza.
Bustani ya Magereza iliyoko kwenye vuwanja vya nanenane.
Banda la Magereza lililoko kwenye viwanja vya maonyesho yanayoendelea mkoani Kagera kwenye viwanja vya Kyakailabwa.
Wine inayotokana na ndizi.

Kaimu kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera Peter Matagi akiongea waandishi wa habari, alikuwa akiwaelezea operation iliyosaidia kukamata bunduki aina ya SMG na risasi 248.

No comments:

Post a Comment