Thursday, August 9, 2012

Picha Mbalimbali


Waziri Mkuu Mizengo Pinda akifurahia mzinga wa nyuki aliozawadiwa na TASO katika maonyesho ya Wakulima Nanenane kwenye uwanja wa Themi Arusha Agust 8, 2012. Kulia ni Naibu Waziri wa Kiolimo na Chakula na Ushirika, Adam Malima (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua mazao ya mbogamboga wakati alipotmbelea maonyesho ya wakulima Nanenane kwenye uwanja vya Themi, Arusha Agust 8, 2012. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mnadimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi la Tanzania Luteni Jenerali Abdulrahman Shimbo kabla ya kabla ya kuanza safari ya kwenda Kampala, Uganda, kuhudhuria mkutano wa nchi za Maziwa Makuuasubuhi leo Agosti 8, 2012. Katikati yao ni Inspoekta Jenerali wa Polisi Saidi Mwema. PICHA NA IKULU
Baadhi ya wakuu wa wilaya wakitembelea mabanda kwenye viwanja vya nanenane vilivyoko eneo la Kyakailabwa lililoko katika manispaa ya Bukoba, hili ni banda la halmashauri ya wilaya ya Karagwe.
Baadhi ya wakazi mkoani Kagera wakipata chgakula cha asili ya wahaya kwenye banda la Audax Mwesiga lililoko kwenye viwanja vya nanenane mbacho ni pamoja na Ntula, Bilaila, kashuri, mtontozi, mshikolo, nkalaito, masoma na nyanya ndogo.
Thadeo Rweyamba afisa wa PSPF akiwahamasisha wananchi wajiunge na mfuko huo, alikuwa kwenye banda la mfuko huo lililoko kwenye viwanja vya maonyesho ya nanenane yanayoenelea kufanyika mkoani Kagera.
Hashimu Luanda afisa wa mfuko wa hifadhi ya jamii ya taifa (PSPF) akitoa maelezo juu ya mfuko huo.
Askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba Methodius Kilaini alikuwa miongoni mwa kongamano la kujadili masuala ya manispaa lililoandaliwa na halmashauri ya manispaa ya BukobaKatibu mkuu wa diosisi ya kaskazini magharibi mchungaji Mbunga (kushoto) alikuwa miongoni mwa walioudhuria kongamano hilo.
Mmoja wa watalaamu wa halmashauri ya manispaa ya bukoba wanaoshughulikia masuala ya ardhiMwakilishi wa shirikia la maendeleo mla Uholanzi akitoa maelezo juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi wakati wa kingamano.
Baadhi ya washiriki wa kongamano.

No comments:

Post a Comment