Thursday, August 9, 2012

JK: Kuhudhuria Mazishi Ya Aliyekuwa Rais Wa Ghana John Evans Atta Mills Leo


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa  jijini Accra, Ghana, kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo Marehemu John Evans Atta Mills anayetarajiwa kuzikwa leo Ijumaa Agosti 10, 2012.


                                                        PICHA NA IKULU

Taswira Za Uzinduzi Wa Operesheni Sangara (CHADEMA) Ifakara Morogoro

 Dk Slaa akihutubia
 Mbowe akihutubia
Umati
Picha na Josephat Senga

Magazeti MagazetiNo comments:

Post a Comment