Monday, June 11, 2012

Tatizo La Moto Katika Shule Ya Sekondari Rugambwa Lisipuuzwe


Mkuu wa upelelezi wa aamkoa wa Kagera Peter Matagi, akiwaelezea wanafunzi wa shule ya sekondari ya Rugambwa hatua za awali uchunguzi wa chanzo cha moto uliotokea shuleni hapo, aliwaambia wanafunzi kuwa chanzo cha moto huo hakikutokana na hitilafu ya umeme.

Posted on: 11 Jun 2012Mkuu wa wilaya ya Bukoba akiwaeleza wanafunzi wa shule ya sekondari ya Rugabwa hatua ambazo serikali itaendelea kuzichukua kuthibiti majanga ya moto ambayo hutokea mara kwa mara katika shule hiyo.

Posted on: 11 Jun 2012Baadhi ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Rugambwa wakimsikiliza mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi Pangani.

Posted on: 11 Jun 2012Mabaki ya vifaa vya wanafunzi vilivyoteketea kwa moto vikiwa ndani ya bweni lililoungua.

Posted on: 11 Jun 2012Jengo la bweni la usambara ambalo sehemu yake iliungua kwa moto na kuteketeza mali za wanafunzi.
 
Picha na Audax Mutiganzi

No comments:

Post a Comment