Friday, June 15, 2012

Mkuu Wa Mkoa Wa Kagera Na Usafi Mjini Bukoba


Mkuu wa mkoa wa Kagera Kanali Mstaafu Fabian Massawe akiendeleza juhudi zake za kuhimiza usafi mkoani Kagera, hapa alikuwa akishiriki kwenye usafi, juhudi zake zimeiwezesha manispaa ya Bukoba kuibuka mshindi wa tatu wa taifa katika masuala ya usafi.
Mkuu wa wilaya ya Bukoba Ziporah Pangani akiwahimiza wananchi washiriki kwenye usafi.
Hali inayodhihiri juhudi zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Kagera za kuimarisha masuala ya usafi, hili ni eneo la wakina mama wanaouza vyakula maaarufu kwa jina la mama Ntilie, liko kwenye machinjio ya zamanMkuu wa wilaya ya Bukoba Zeporah Pangani akishiriki kwenye masuala ya usafi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo cha Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa cha Hombolo, Dodoma kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Juni 14, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mstaafu, Edward lowassa akisalimiana na Mbunge wa Vunjo. Augustine Mrema kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Juni 14,2012. Katikati ni Mbunge wa Simanjiro. ChristopherOle Sendeka. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, MizengoPinda akizungumza na Mbunge wa Sengerema., William Ngeleja kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 14, 2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment