Tuesday, June 19, 2012

Rais Kikwete Akutana Na Mwana Wa Mfalme Na Naibu Waziri Wa Mambo Ya Nje Wa Saudia,Pia Mwenyekiti Wa Arigatou International,Pia Naibu Waziri Mkuu Wa Kenya Ikulu


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana naMwana wa Mfalme na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mhe. Abdulaziz Bin Abullah Bin Abdul Aziz Al Saudi
 leo Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifanya mazungumzo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana akimsinidikisa Mwana wa Mfalme na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mhe. Abdulaziz Bin Abullah Bin Abdul Aziz Al Saudi
 leo Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifanya mazungumzo
Rais Jakaya Kikwete akimsindikiza Naibu Waziri Mkuu wa Kenya ambaye pia ni Waziri wa Serikali za Mitaa Mhe. Musalia Mudavadi baada ya mnaongezi yao Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mchungaji Keishi Miyamoto, Rais wa Arigatou na Mwenyekiti wa Bodi ya Myochikai na Mlezi-Mwenza wa Kongamano la Mtandao wa Kimataifa wa Dini kwa Watoto
(Global Network of Religions for Children)  leo Juni 18, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifanya mazungumzo PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment