Monday, June 18, 2012

JK Akiapisha Tume Ya Usuluhishi Na Uamuzi


Rais Kikwete akimuapisha mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bw. Cornel Kananila Mtaki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais wa Kamati ya Olimpiki Filbert Bayi baada ya kukutana na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara na viongozi wa chama cha riadha alipokutana nao kwa mazungumzo na kupanga mikakati ya namna ya kufufua mchezo wa riadha nchini. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw Sethi KamuhandaRais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara (hayupo pichani) na viongozi wa chama cha riadha alipokutana nao kwa mazungumzo na kupanga mikakati ya namna ya kufufua mchezo wa riadha nchini. Wa pili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Riadha nchini William Kallaghe, Mkurugenzi wa Michezo Bw. Thadei na kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Riadha Suleiman Nyambui.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongoza kikao cha Mamati ya Kitaifa ya Sensa ya Watu na Makazi kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mikoa (TAMISEMI) Mjini Dodoma Juni 16,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment