Tuesday, June 12, 2012

Baraza La Madiwani Manispaa Ya Bukoba Lafanyika


Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba Khamis Kaputa akiongea wakati wa kikao cha baraza la madiwani wa pili toka kushoto ni meya wa manispaa hiyo Anatory Amani, kulia mkuu wa wilaya ya Bukoba Ziporah Pangani na anayefuata makamu meya Ngalinda.
Ofisa wa UTT, Kamugisha akiwaelezea madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Bukoba maendeleo ya mradi wa upimaji wa viwanja katika manispaa hiyo.
Madiwani wengine wa manispaa ya Bukoba wakiwa kwenye kikao chao cha kawaida.Baadhi ya madiwani wengine wa halmashauri ya wilaya ya Bukoba.
Baadhi ya watendaji wa manispaa ya Bukoba walioudhuria kikao cha baraza la madiwani.
Watendaji wengine wa manispaa ya Bukoba.

No comments:

Post a Comment