Monday, September 24, 2012

Serikali Ya China Yakabidhi Kompyuta Na Vitabu Kwa Maktaba Ya Taifa (TLSB)


Mkurugenzi Mkuu wa TLSB Alli Mcharazo(aliesimama kulia) akiongea kati hafla leo
Wadau mbalimbali wa matumizi ya Maktaba makataba ya taifa wakijisomea
Katibu Mkuu wa Elimu (kushot) Selestine Gisimba wakifanya makabidhiano na Mwakilishi kutoka Serikali ya China Ling U, kulia
Mkurugenzi Mkuu wa Maktaba ya Taifa (TLSB) nchini Dkt, Alli Mcharazo (kushoto) akifanya makabidhiano na Mwakilishi wa serikali ya China (kulia)  Ling U  leo jijinii Dar es salaam. Ambapo Serikali ya watu wa China wamekabidhii vitabu hivyo vya kusomea , komputa na mashelfu ya kuwekea vitabu katika maktaba ya  taifa ya vitabu nchini (TLSB)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Selestine Gisimba akijaribu kutumia moja ya kaomputa zilizokabidhiwa na Serikali ya watu wa China kwaajili ya matumizi ya maktaba kuu ya taifa nchini,leo  katika hafla ya makabidhiano jijini 24,Sept 2012.

No comments:

Post a Comment