Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti
wa Alliance for a Green Revolution in Africa Dkt.Kofi Annan(kushoto)
pamoja na Mkurugenzi wa Bill and Melinda Gates, Bibi Melinda Gates
wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Kimataifa wa” Africa Green Revolution
Forum 2012,” uliofanyika katika ukumbi wa Ngurdoto mountain Lodge mjini
Arusha.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano wa Kimataifa wa”African Green Revoultionmjni Arusha.
No comments:
Post a Comment