Monday, September 3, 2012

Picha Mbalimbali


Kanisa la jimbo kuu la Bukoba ambalo mwli wa marehemu Kardinari Laulean Rugambwa utapumzishwa milele 0ct0oba 6, mwaka huu, mwili huo ulikuwa umepumsishwa kwa muda kwenye maeneo ya maziko ya parokia ya Kashozi.Hali ya kanisa katoriki la jimbo la Bukoba ambalo sasa linafanyiwa ukarabatiWafanyabiashara hasa wenye magari makubwa yakusafirisha mizigo na abiria mjihadhari sana, kuna matairi feki ya Michelin ambayo sasa yanauzwa, matairi haya yanadaiwa kuuzwa na matapeli walioko jijini Mwanza, haya ni matairi ambayo mmiliki wa magari yanayosafirisha abiria aliuziwa, matairi haya hayawezi kusafiri hata kwa umbali wa zaidi ya kilomita 1 yanapasuka hovyo hata wakati wa kupachikwa kwenye Rim zake, matairi feki hayo ndigu zangu mkiyanunua ndugu zangu wasafirishaji watakuwa mnahatarisha maisha ya watu.
Matairi feki ya Michelin.

No comments:

Post a Comment