Monday, September 24, 2012

Kampuni Ya Kusafirisha Mizigo Ya Serengeti Yakabidhi Msaada Wa Vitu Mbalimbali Kuwasaidia Wakazi Wa Mabwepande,Dar


Viongozi wa kampuni ya ya Usafrishaji wa Mizigo ya Serengeti (Serengeti Freight Forwarders Ltd) Bw. Chris Lukosi wakiwa katika picha ya pamoja  na  Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam  Saidi Meck Sadiki (wa pili kutoka kulia) mara baada ya kukabidhi msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa na watanzania waishio nchini Uingereza leo jijini Dar es salaam.
 
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam  Saidi Meck Sadiki (kulia) akipokea msaada wa vitu mbalimbali vilivyotolewa na watanzania waishio nchini Uingereza kuwasaidia wakazi wa Mabwepande walioathiriwa na mafuriko yaliyotokea mwezi Desemba 2011 jijini Dar es salaam leo. Wanaokabidhi msaada huo ni kutoka kushoto ni Awadh Salim mkurugenzi wa Kampuni hiyo, Bw. Mohammed Abdulrahaman Meneja wa kampuni hiyo Tanzania na Bw. Chris  Lukosi, Mkurugenzi wa  Kampuni ya Usafrishaji wa Mizigo ya Serengeti.
                        Picha na Aron msigwa - MAELEZO

No comments:

Post a Comment