Thursday, September 20, 2012

Kagera Amani Na Maendeleo......Amani Na Maendeleo K.....

Mwonekano wa baadhi ya vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Songambele iliyopo wilaya mpya ya Kyerwa mkoa wa Kagera kwa watu wanaoishi mjini huwezi kujua kama kwa miaka 50 ya uhuru kama bado kuna madarasa ya aina hii.

Hapa wanafunzi wapo darasani wakiendelea na masomo ingawa darasa mabovu lakini wana madawati.

Ofisi ya tawi ya chama cha mapinduzi CCM katika kata ya songambele ingawa kinaitwa kimetawala kwa miaka 50 bado majengo yake yako hiv

No comments:

Post a Comment