Wednesday, July 4, 2012

Viongozi wa jumuiya za elimu ya juu wamtembelea Rais Kikwete Ikulu

 
  Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Umoja wa  wanafunzi wa  vyuo vya elimu ya juu  nchini (TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria kongamano la mabadiliko ya katiba lililokuwa linafanyika katika ukumbi wa Karimjee.
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  na viongozi wa Umoja wa wanafunzi wa  vyuo vya elimu ya juu  nchini (TAHLISO) walipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam siku ya Jumatano Julai 4, 2012. Viongozi hawa walikuwa wakihudhuria kongamano la mabadiliko ya katiba lililokuwa linafanyika katika ukumbi wa Karimjee. 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment