Tuesday, July 24, 2012

Rais Kikwete Akutana Na Dkt. Asha Rose Migiro

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo 


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha na kufanya mazungumzo na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akumuaga aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro ikulu jijini Dar es Salaam leo. Chanzo: Freddy Maro

No comments:

Post a Comment