Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kamati ya Sensa ya Kitafa, Mjini Zanzibar Julai 14,2012.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na makamu wa pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif wakiteta katika Mkutano wa Kamati ya Sensa ya Kitaifa uliofanyika Mjini Zanzibar , Julai 14,2012. (Picha na Ofisi ya Waziri m
Mkuu)
No comments:
Post a Comment