Wednesday, July 4, 2012

KOCHA WA YANGA ALIPOWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA J.K.NYERERE LEO MCHANA

 Kocha mpya wa Yanga, Mbelgiji Thom Saintfiet akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam na kulakiwa na mamia ya wapenzi wa klabu hiyo. wanachama wa timu hiyo wamejitokeza kwa singi katika mapokezi yake tangu anatokea ndani ya Uwanja wa Ndege, hadi akiwa ndani ya gari tayari kwa safari ya Jangwani. 
 Kochja wa timu ya Yanga akipunga mikono kwa mashabiki mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere leo mchana.
Mashabiki wa timu ya Yanga wakishangilia mara baada ya kumuona kocha wao mpya alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Mawalimu J.K.Nyerere.

No comments:

Post a Comment