Sunday, July 15, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MASHEIKH WA BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA (BAKWATA)MJINI DODOMA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya kufungua rasmi semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma jana, Julai 15, 2012. Katikati ni Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, baada ya kufungua rasmi semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma jana, Julai 15, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya za Kiislamu na waumini wa Dini hiyo, waliohudhuria semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma jana, Julai 15, 2012. Picha na Muhidin

Rais Kikwete akutana na Rais Omar El Bashir wa Sudan jijini Addis Ababa

 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Rais wa Sudan Omar Hassan el  Bashir wakati wa Mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika unaoendelea jijini Addis Ababa Ethiopia.
 Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akijadiliana jambo na Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe(kulia) pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Joram Biswaro(Katikati) wakati wa kikao maalimu cha nchi za Maziwa Makuu kilichofanyika sambamba na Mkutano wa 19 wa Wakuu wa nchi za Umoja wa Afrika AU jijini Addis Ababa Ethiopia(picha na Freddy Maro)
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wengine wanchi  za Afrika wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 19 wa wakuu wan chi za umoja wa Afrika(AU) jijini Addis Ababa Ethiopia leo asubuhi(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment