Friday, July 6, 2012

Jaji Mkuu Awatunuku Mawakili Wapya wa Serikali

Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe akitunukiwa Uwakili na Jaji Mkuu Othman Chande katika hafla ya kuwatunuku uwakili wanasheria wa serikali iliyofanyika leo jijini Dar es salaam
Katibu Msaidizi wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania (Mapitio) Angela Bahati Salema akisalimiana na Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali George Masaju mara baada ya kutunukiwa uwakili wa Serikali na Jaji Mkuu Othaman Chande
Majaji wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watunukiwa akiwemo Waziri wa Katiba na Sheria Mathias Chikawe (Wa nne kushoto mstari wa nyuma)
Baadhi ya Watunukiwa wakiwa katika hafla hiyo.
Jaji Mkuu Othman Chande akiwa na watunukiwa wa Uwakili
Mwenyekiti wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Jaji Prof Ibrahim Juma akishuka katika basi maalum waliopanda majaji wakati wa hafla ya kuwatunuku Mawakili wapya wa Serikali ijumaa.

No comments:

Post a Comment