Sunday, July 15, 2012

RPC Kagera Afunga Mafunzo Maalum Ya Udereva Wilayani Muleba


Katibu wa Hospitali ya Ndolage Kabululu akitoa maelezo kwa kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera juu ya mafunzo ya udereva yaliyotolewa kwa watendaji wa hospitali hiyo.Kalangi akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya walioandaa mafunzo ya udereva yaliyofanyika kamachumu,  na nyuma yake ni mkurugenzi mtendaji wa chuo cha udereva cha Lake zone kilichotoa mafunzo kwa madereva Winston Kabantega.Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera akipokea zawadi ya mbuzi toka kwa wahitimu wa mafunzo ya udereva yaliyofanyika eneo la Kamachumu.Kalangi akimpatia cheti cha udereva Padre wa parokia ya Rubya Paulin Rutaihwa.Kamanda wa jeshi la polisi mkoani Kagera, Philip Kalangi akiwahutubia wahitimu wa mafunzo ya udereva wa kituo cha Rubya.
Mkurugenzi wa chuo cha udereva cha Lake zone akiwahutubia wahitimu wa mafunzo ya udereva wa hospitali ya Rubya iliyoko mkoani KageraBaadhi ya wahitimu wa mafunzo ya udereva wa hospitali ya Rubya.

No comments:

Post a Comment