Wednesday, April 17, 2013

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDURAHMAN KINANA AWAKUNA WANA IFAKARA

1Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu  Abdurahman Kinana akiwahutubia wananchi wa Ifakara  katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye stendi kuu ya mabasi ya Ifakara ambapo amewahimiza viongozi wa chama cha mapinduzi kuwatumikia wananchi bila kujali itikadi zao kwani huo ndiyo wajibu wa wa chama cha mapinduzi ambao ni kuisimamia Serikali ya CCM ambayo wananchi wameipa ridhaa ya kuongoza nchi kwa kuwa wana imani na chama cha mapinduzi CCM . 5Mwanahawa Shabaan Mwenyekiti wa kikundi cha SACCOS cha Mhola Ifakara akitoa maelezo kwa Katibu wa NEC Oganizesheni  Ndugu Mohammed Seif Khatib wakati alipokagua jengo la kikundi hicho leo mjini Ifakara 6Mwanahawa Shabaan Mwenyekiti wa kikundi cha SACCOS cha Mhola 9Katibu  Mkuu wa CCM Abduramhani Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza  kumpokea katika kivuko vha Mto Kilombero 8Akina mama wajasiriamali wakicheza ngoma wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana 7Katibu wa NEC Oganizesheeif Khatibuni Dk Mohamed  akipandisha Bendera wakati alipozindua moja ya tawi la tawi  10Katibu Mkuu wa Chama cNnauyeha Mapinduzi akiongozana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro kwenda kupanda magari 11Wajumbe wa mashina Mbalimbali  wakiwa katika mkutano wa ndani . 15Umati wa watu waliohudhuria katika mkutano huo mjini M0r0g0ro 14Ndugu Abdurahman Kinana na na Katibu wa NEC Itikadi na uenezi Nape Nnauyewakigawa kadi kwa wananchama wapya ambao wamejiunga na CCM. 19Haya ni majengo yanayojegwa kwa ajili ya kambi ya mafundi na wataalamu wanaofanya kazi ya kujenga Daraja la Mto Kilombero ambalo loinaendelea kujengwa jijini Dar . John Bukuku 2Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana akimfariji Gabriel  Mtoto wa Marehemu Mwalimu Osward Ngokonjela wakati alipotembelea na kuhani  msiba huo

No comments:

Post a Comment