Monday, April 29, 2013

Godbless lema aachiwa huru kwa dhamanalema ec6a0

Mbunge Arusha, Godbless Lema
Mahakama kuu ya Arusha mapema leo asubuhi imemuachia huru kwa dhamana mbunge  wa Arusha mjini,kwa mashariti ya kuwa na mdhamini mmoja mwenye kitambulisho, na asaini hati ya dhamana yenye thamani ya shilingi milioni moja.

No comments:

Post a Comment