Wednesday, October 10, 2012

WAZIRI WA CHAKULA, USHIRIKA NA KILIMO AKUTANA NA UONGOZI WA KCU

Mwenyekiti wa chama cha ushirika mkoani Kagera (KCU) John Binunshu, akitoa taarifa ya chama hicho.
 Waziri wa chakula ushirika na kilimo Mhandisi Christopher Chizza akiongea na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Kagera na uongozi wa KCU, alikisifia chama hicho kwa utendaji mzuri wa kazi.
 Baadhi ya viongozi wa KCU wakimsikiliza Chizza, kutoka kulia ni Clement Ndyamkama katibu tawala wa wilaya ya Bukoba, Vedasto Ngaiza Meneja wa KCU, Mtayabalwa mkaguzi wa ndani wa KCU na mwisho kulia ni meneja masoko wa KCU Bw. Festo.
Mkuu wa wilaya ya Bukoba Bi. Ziporah Pangani akimwelezea Waziri Chizza jinsi magendo inavyoathiri biashara ya kahawa mkoani Kagera.

No comments:

Post a Comment