Saturday, October 27, 2012

JK Katika Kikao Cha Kazi Wajumbe wakichangia katika kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Naibu Mawaziri na maofisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadaye katika Ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Naibu Mawaziri na maofisa waandamizi wa serikali wanaokutana kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadaye katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma. Pamoja naye meza kuu ni Makamu wa Rais Dk. Mohamed Ghalib Bilali (kulia) na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue. Rais Jakaya Mrisho kikwete na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakipitia Waraka wa Utumishi Namba 5 wa mwaka 2009 kuhusu matumizi bora na salama ya vifaa na mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEKNOHAMA) serikalini wakati wa kikao cha kazi (retreat) cha siku tatu cha Mawaziri, Naibu Mawaziri na maofisa waandamizi wa serikali  kujadili mikakati endelevu na utekelezaji wa sasa na wa baadaye katika ukumbi wa St Gaspar mjini Dodoma.PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment